Morogoro: Baba abaka na kumlawiti mwanaye
Polisi Mkoani Morogoro inamshikilia mwanaume mmoja, anayejulikana kwa jina la Said Kasti (35), kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanaye wa miaka 2, katika kijiji cha Kimangakene kata ya Kiloka Wilayani Morogoro.