''Sijawahi kuwa single'' - Dogo Janja Dodo Janja Msanii wa kizazi kipya kutokea Arusha Dogo Janja "Janjaro", amefunguka kuwa anajipanga kuoa tena na amesema hajawahi kuwa single katika maisha yake tangu ayajue mapenzi. Read more about ''Sijawahi kuwa single'' - Dogo Janja