Baraka aikimbia Tanzania, akataa kuitwa tapeli Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Tanzania Barakah the Prince, ameeleza kuwa kwa sasa ana makazi nchini Kenya na amekataa suala la yeye kuitwa tapeli. Read more about Baraka aikimbia Tanzania, akataa kuitwa tapeli