''Umetukumbusha sisi wanasiasa'' - Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ameungana na wananchi wengine wa Chato,wakiwemo viongozi wa Serikali na mabalozi, kwa pamoja kumpokea Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, katika uwanja wa Ndege wa Chato aliyekuja kwa ziara binafsi ya siku moja.