Tamko la Waziri Lugola kuhusu matukio ya utekaji
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelitaka Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwafunguliwa mashtaka wanaosambaza taarifa za uongo na za kutengeneza kuhusu matukio ya utekaji na kupotea watu ambayo yanachafua taswira ya Serikali.