Mbrazil afeli vipimo baada ya kupatikana na UKIMWI Mchezaji, Alessandro Mchezaji raia wa Brazil, Alessandro ameshindwa kujiunga na timu yake mpya ya Daejeon Citizen ya Korea baada ya kupatikana na virusi vya UKIMWI alipofanyiwa vipimo vya afya. Read more about Mbrazil afeli vipimo baada ya kupatikana na UKIMWI