Baada ya kutolewa AFCON,mama mzazi wa kocha atekwa
Kocha wa zamani wa Nigeria Samson Siasia
Mama mzazi wa kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria Samson Siasia, ametekwa na watu wenye bunduki leo asubuhi kwenye mji wa Odoni Bayelsa, mkoa wa Niger Delta.