Majibu ya Msekwa juu ya barua ya Kinana na Makamba
Katibu wa Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu Wastaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Pius Msekwa, amejibu kufuatia barua aliyoandikiwa na makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho, Yusuph Makamba na Abdurahman Kinana, kuhusiana na uzushi alioutoa Cyprian Musiba dhidi ya viongozi hao.