Singano aeleza alivyoiacha Yanga na kwenda Mazembe Ramadhan Singano Winga wa kimataifa wa Tanzania Ramadhan Singano, ameweka wazi kuwa kabla ya kujiunga na klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, alifuatwa na Yanga. Read more about Singano aeleza alivyoiacha Yanga na kwenda Mazembe