Irene Uwoya, Amber Lulu wakubali yaishe Irene Uwoya akimwaga hela kwenye mkutano na wanahabari Wasanii wa tasnia ya muziki wa Bongo Fleva na Bongo Movie hapa nchini, Irene Uwoya pamoja na Amber Lulu wamekubali makosa yao na wameomba radhi kwa vitu ambavyo wamevifanya mbele za watu. Read more about Irene Uwoya, Amber Lulu wakubali yaishe