DAR: Amuua mkewe na kumchoma moto, DNA yasubiriwa
Jeshi la Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mwanaume mmoja jina Khamis Luwonga maarufu kama 'Meshack' kwa tuhuma za kumuua na kumchoma moto mke wake, Naomi Marijani kwa jina jingine 'Sandra'.