Alichoambiwa Uwoya baada ya kuitwa BASATA leo

Steve Nyerere na Irene Uwoya

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), leo limekutana na waigizaji Irene Uwoya, Steve Nyerere na Dude maarufu kama Kulwa Kikumba na kufanya nao mahojiano kuhusiana na 'issue' ya kuwatupia pesa waandishi wa habari.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS