Chege azungumzia mgogoro na Temba Chege na Temba Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Chege Chigunda, amenyoosha maelezo kuhusu kile kinachoendelea kwa sasa kwenye mitando ya kijamii, kuhusu yeye na msanii mwenzake wa siku nyingi, Mh.Temba. Read more about Chege azungumzia mgogoro na Temba