'Kuna shule zinavyoo vibovu' - Jafo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo, amewaagiza Wakurugenzi hadi kufikia Desemba 2019, kuhakikisha wale walimu wote waliosomea elimu yenye mahitaji maalumu, wanawahamisha na kuwapeleka katika shule zenye mahitaji maalumu na jumuishi.

