Kauli ya Faiza baada ya Sugu kuoa "ananipenda" Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini Sugu, Faiza Ally amesema amependezwa na tukio la kufunga ndoa kwa Joseph Mbilinyi, na anaamini sasa Mbunge huyo anaenda kuwa na maisha ya furaha zaidi. Read more about Kauli ya Faiza baada ya Sugu kuoa "ananipenda"