Serikali kupeleka nje walimu wa Kiswahili Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Damas Ndumbaro Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Damas Ndumbaro, leo Julai 18, amesema Serikali ya Tanzania na Uganda, zimedhamiria kushirikiana kwa dhati katika masuala ya biashara, yenye mlengo wa kukuza uchumi. Read more about Serikali kupeleka nje walimu wa Kiswahili