Waziri mkuu ataja watakaohusika uchaguzi Mkuu 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka vijana waliotimiza umri wa kupiga kura wajitokeze kwa wingi katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura. Read more about Waziri mkuu ataja watakaohusika uchaguzi Mkuu 2020