Madereva wabuni mbinu ya wanaokataa kuvaa 'helmet' Dereva na abiria Baadhi ya abiria wanaotumia usafiri wa bodaboda mkoani Njombe wamekuwa wakigoma kutumia usafiri huo kwa sababu ya kuepuka uchafu wa kofia ngumu wanazopewa madereva. Read more about Madereva wabuni mbinu ya wanaokataa kuvaa 'helmet'