Billnass afunguka mahusiano ya Nandy na Dogo Janja Nandy na Billnass Msanii wa Rap kutoka kiwanda cha BongoFleva hapa nchini Billnass, amenyoosha maelezo kwa kile kinachoendelea katika mahusiano ya wasanii wenzake Nandy na Dogo Janja. Read more about Billnass afunguka mahusiano ya Nandy na Dogo Janja