Aliyemrithi Makamba aweka rekodi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanioa Dkt John Pombe Magufuli leo Julai 21, 2019 amemteua Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene kuwa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akichukua nafasi ya January Makamba.