'Dar es salaam kumejengwa kiholela'' - Waziri Jafo
Idadi ya watu waishio mijini nchini Tanzania inatarajiwa kufikia milioni 45 ifikapo mwaka 2030, na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya 6 kwa ukuaji wa miji ulimwenguni, huku Jiji la Dar es salaam, likikadiriwa kuwa na watu milioni 10 kabla ya mwaka 2035.

