Yanga kuikosa AS Vita, Zahera afunguka Kikosi cha Yanga Klabu ya soka ya Yanga bado haijapata timu ya kucheza nayo kwenye kilele chake cha wiki ya Mwananchi baada ya AS Vita kujitoa kuja kucheza kama ilivyokuwa imepangwa awali. Read more about Yanga kuikosa AS Vita, Zahera afunguka