Waziri azindua kiwanda cha makaravati ya plastiki Waziri Bashungwa akizindua kiwanda cha kutengeneza mabomba. Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, leo Julai 24 amezindua kiwanda kinachotumia teknolojia mpya ya utengenezaji wa makaravati kwa kutumia plastiki. Read more about Waziri azindua kiwanda cha makaravati ya plastiki