Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wawashiana moto
Floyd Mayweather na Manny Pacquiao kwenye pambano lao 2015
Mabondia wawili ambao wamekuwa wakifanya vizuri miaka ya hivi karibuni Floyd Mayweather na Manny Pacquiao, wameonesha kutofautiana huku kila mmoja akivimba juu ya mwenzake.