''Kelele zinapunguza nguvu za kiume'' - NEMC
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Mhandisi Samuel Mafwenga, amesema kelele zaidi ya viwango, zinasababisha upungufu wa nguvu za kiume pamoja na kuleta athari za akili na afya ya ubongo.