P Funk Majani aeleza mazito kuhusu Prof. Jay P-Funk Majani na Profesa Jay Mkongwe na mtayarishaji wa muziki P-Funk Majani ameeleza mambo mazito yanayomuhusu mbunge wa jimbo la Mikumi Profesa Jay kuhusu kulipwa Milioni 100 kutoka kwa msanii wa Uganda. Read more about P Funk Majani aeleza mazito kuhusu Prof. Jay