Christian Bella afunguka ishu za kulipa Pesa Msanii mwenye uraia wa nchi ya DR Congo anayeishi Tanzania kwa kazi na makazi Christian Bella, amefunguka ishu zinazomfanya asichukue Uraia wa kuishi Tanzania moja kwa moja. Read more about Christian Bella afunguka ishu za kulipa Pesa