Kenya waeleza kipaumbele, mengine yote baadaye
Balozi wa Kenya nchini Tanzania Dan Kazungu, amesema Tanzania na Kenya kwa sasa zinatakiwa kuwekeza zaidi kwenye suala la elimu ili kuhakikisha mataifa haya yanapiga hatua zaidi kwenye suala la maendeleo.

