Baada ya Rais kufariki mrithi wake atangazwa Spika wa Bunge la Tunisia Mohamed Ennaceur, ameteuliwa kuwa Rais wa mpito wa nchi hiyo baada ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Beji Caid Essebsi, kuaga dunia mapema Alhamisi ya Julai 25. Read more about Baada ya Rais kufariki mrithi wake atangazwa