"Ukiiba umejiibia mwenyewe" - Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Mto Rufiji, utakaogharimu zaidi ya trilioni 6.5, pamoja kuzalisha Megawats za umeme 2115.