Baba Levo 'amshambulia' Trafiki, Mahakama yaeleza
Mahakama ya Mwanzo ya Mwandiga mkoani Kigoma, imemkuta na kesi ya kujibu Diwani wa Kata ya Mwanga Revocatus Kipando (Baba Levo), baada ya kutuhumiwa kufanya shambulio kwa Askari wa usalama barabarani akiwa kazini Julai 15, 2019.