Lulu Diva afunguka uhusiano wake na Jaguar

Lulu Diva na Jaguar

Msanii wa Bongofleva mwanadada Lulu Diva, ameweka wazi uhusiano wake na msanii Jaguar, ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Starehe huko Kenya kwa kusema kuwa wawili hao ni marafiki wa muda mrefu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS