Mo Dewji avunja ukimya, aweka wazi kuhusu Simba Mfanyabiashara Mohammed Dewji amesema haondoki Simba na tayari wameshaongea na serikali na kwamba maendeleo ya mpango wa uwekezaji kwenye klabu hiyo unaendelea vizuri. Read more about Mo Dewji avunja ukimya, aweka wazi kuhusu Simba