IGP Sirro atoa ujumbe kuhusu mali za askari IGP Simon Sirro Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka ndugu wa maaskari waliofariki wasiwe chanzo cha machungu kwa wake za marehemu, kwa kutaka kujimilikisha mali walizoachwa. Read more about IGP Sirro atoa ujumbe kuhusu mali za askari