Seyi Shay aeleza tatizo la wasanii wa EAC
Msanii wa Nigeria Seyi Shay, amesema miongoni mwa matatizo yanayoukabili muziki wa Afrika Mashariki, ni wasanii wake kutotumia nguvu kubwa kuusambaza muziki wao, maeneo mengine na kusababisha wasanii wake kukosa fursa za Kimataifa.