Meneja aingilia penzi la Ebitoke na Yusuph Mlela Ebitoke na Yusuph Mlela Meneja wa zamani wa mchekeshaji Ebitoke, Bhoke Rioba amefunguka suala la msanii wake kuayaanika mahusiano yake wazi akiwa na msanii mwenzake wa filamu Yusuph Mlela. Read more about Meneja aingilia penzi la Ebitoke na Yusuph Mlela