Mambo makubwa 4 yatakayozinduliwa na Simba Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori Uongozi wa klabu ya Simba umesema kuwa kuanzia tarehe 31 Julai 2019, itazindua mambo makubwa matatu kwa ajili ya klabu na mashabiki wake kuelekea wiki ya Simba Day itakayohitimishwa Agosti 6. Read more about Mambo makubwa 4 yatakayozinduliwa na Simba