"Maneno ni mengi, sina nia na Urais" - Mama Samia Makamu wa Rais, Mama Samia Sukuhu Hassan Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi ya uongozi kwa ngazi ya Urais visiwani Zanzibar. Read more about "Maneno ni mengi, sina nia na Urais" - Mama Samia