Makonda aeleza sababu za yeye kuwa RC DSM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema miongoni mwa sababu za yeye kuiongoza Dar es salaam ni kuhakikisha wananchi wa Mkoa huo wanapona kupitia yeye, kwa namna ambavyo amekuwa akijitolea mara kwa mara kuhusu suala la tiba.

