Hii ndiyo silaha kubwa ya muonekano wa Darassa Darassa Msanii wa Hip Hop nchini, Darassa 'Mr Burudani' amenyoosha maelezo kuhusu kutoweka mambo yake binasfi hadharani pamoja na kitu ambacho kinampa muonekano mzuri pindi anapokivaa. Read more about Hii ndiyo silaha kubwa ya muonekano wa Darassa