'Kuna Watanzania wanafanywa watumwa' - Kangi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, amesema mpango wa Serikali ni kuhakikisha inatokomeza biashara haramu ya usafirishwaji wa binadamu unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara kwa nia ya kujipatia kipato.