Aliyemchoma moto mkewe afikishwa mahakamani
Mfanyabiashara Khamis Luwongo (Meshack), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani kisha kumchoma moto kwa magunia mawili ya mkaa na mabaki ya mwili huo kuyafukia shambani mwake na kupanda mti wa mgomba, leo amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia.