Mkuu wa Mkoa alalamika wananchi kuhatarisha maisha
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo ametoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu kuharakisha ukarabati wa meli ya MV Liemba ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo na wananchi wanaoishi katika mwambao wa Ziwa Tanganyika.