Waandamana kushinikiza Ndege ya TZ iachiwe

Kamanda wa Polisi Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema jeshi la polisi linawashikilia watu 3 kwa maandamano yasiyo na kibali wakishinikiza kurejeshwa kwa ndege ya Tanzania inayoshikiliwa Afrika Kusini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS