Namthamini yapokelewa kwa nguvu Hanang

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Joseph Mkirikiti, ameikaribisha vizuri timu ya Namthamini kutoka East Africa Television na East Africa Radio, ambapo amekubali kuongozana na timu kwenda shule ya Sekondari Simbai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS