Mo Dewji ataja bajeti ya Simba msimu wa 2019/20 Mohamed Dewji Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' amesema kuwa bajeti ya klabu hiyo katika msimu wa 2019/20 itakuwa mara mbili na nusu ya msimu uliopita. Read more about Mo Dewji ataja bajeti ya Simba msimu wa 2019/20