'Sijawahi kuwa na mpenzi tangu nizaliwe' - Marioo Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, amesema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake. Read more about 'Sijawahi kuwa na mpenzi tangu nizaliwe' - Marioo