RPC Mbeya kuchunguza walioshambulia msafara wa DC
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Jeromi Ngowi, amesema jeshi hilo linaendelea na uchunguzi ili kuweza kuwabaini wale wote waliohusika na kuvamia msafara wa Mkuu wa wilaya ya Kyela Claudi Kitta, katika Kijiji cha Mpunguti wilayani humo.

