'Anayekuja ataweza kuwa kama mimi?" -JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amezindua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jengo la tatu (Terminal 3), jijini Dar es salaam mradi ambao unagharimu zaidi ya Bilioni 720.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS