"Vyuma vimekaza, njooni mvilegeze" - Sitta
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamini Sitta, amewataka vijana wilayani kwake kuhakikisha wanachangamkia fursa zinazojitokeza ikiwemo ya kujiunga na chuo cha ufundi kutokana na vijana wengi hivi sasa kuwa na ndoto za kuwa madereva bodaboda.